•Henna (Hina) inasaidia katika kubalance hali ya kichwa kwa maana ya pH na kusaidia kuondoa muwasho wa ngozi ya kichwani.
•Inasaidia nywele kukua kiusahihi
•Inapunguza kukatika kwa nywele na kasi ya mvi kuota kwa wale wenye asili ya mvi au wenye umri mkubwa
•Inaweza kutumika kuzipa nywele zako rangi na mng'ao wa tofauti kadri unavyoitumia (Hair dye)
• Pia unawez kuitumia Henna Kama conditioner (Tutaangalia kwenye somo linalofuata)

Tags:
Hair and Styles