10. VITU VYA ASILI KWA UKUAJI WA NYWELE/ NATURAL REMEDIES FOR PERFECT HAIR GROWTH

SABABU ZA KUWA NA MVI KATIKA UMRI MDOGO
1. Ukosefu wa vitamin B (Deficiency au ukosefu wa vitamin B - 12  or problems with pituitary and thyroid glands zinapelekea kuwa na premamature graying (mvi za ujanani) ambazo zinaweza kutolewa kwa kutumia vitamin B supplements (vidonge vya vitamin B complex)
2. Genes /kurithi
3.Dhiki na huzuni (Stress and depression)

VITU VYA ASILI UNAVYOWEZA TUMIA KUONDOA MVI
1. Majani ya chai meusi ( yale ya kawaida ya chai si green tea)
-chemsha maji na majani ya chai kwa muda kisha yatoe na uyapooze, jimwagie maji hayo katika nywele kaa nayo kwa muda wa lisaa limoja una weza kuongeza hata masaa mawili, kisha osha na maji. USIPAKE SHAMPOO. fanya hivi mara 2 hadi 3 kwa week.

2.Juisi ya Limao, Mafuta ya Nazi na castor oil
-Juisi ya limao vijiko vitatu
-mafuta ya nazi + castor oil yanayo tosha kulowanisha nywele zako
changanya mafuta ya nazi na juisi ya limao, pakaa kichwani kaa nayo kwa muda wa lisaa limoja na uoshe kwa mild shampoo

3.Mafuta ya nazi, castor oil na henna
-Chukua mafuta ya nazi, castor oil na majani ya henna vichemshe kwa pamoja kisha chuja na tumia mafuta haya katika nywele zako kila siku mpaka utakapo pata mabadiliko.

4. Mafuta yaliyotengenezwa kwa special formula (BADO YAPO KWENYE UCHUNGUZI)

Post a Comment

Previous Post Next Post