SABABU
💕Magonjwa ya kisaikolojia ya muda mrefu
💕Uvutaji wa sigara kupita kiasi
💕Kinga ya mwili kuwa chini kutokana na magonjwa yatokanayo na virusi
💕Mabadiliko ya hormone katika mwili, mabadiliko ya mazingira, mabadiliko ya mzunguko wa damu kichwani
💕Urithi
💕Kuwekwa ganzj wakati wa matibabu
💕Mlo usio sahihi
💕Ujauzito na kunyonyesha
💕Magonjwa ya kichwa
💕Matunzo hafifu ya nywele
Na mengine mengi tutaendelea kujuzana kadri siku zinavyoenda.
JINSI YA KUEPUKA AU KUZUIA/KUTIBU ENDAPO UMESHAPATA TATIZO HILO.
🧚🏻♀️Hakikisha nywele zako haziwi kavu
🧚🏻♀️Kula mlo kamili ikiwa ni pamoja na matunda na kunywa maji ya kutosha
🧚🏻♀️Kutumia bidhaa zisizo na viambata sumu
🧚🏻♀️Kuacha tabia hatarishi kama vile kuvuta sigara nk
ITAENDELEA…
Tags:
Hair and Styles