🌿Katika miaka ya karibuni bidhaa zinazohusiana na ngozi na nywele zenye "castor oil" zimekua na umaarufu mkubwa katika matumizi ya kila siku duniani.
🌿Castor oil ni mafuta ya mnyonyo ambayo hutokana na mbegu za mmea uitwao mbarika au mbono
🌿Nyonyo hulimwa ili kupata mbegu zake na asili yake ni Afrika Mashariki na Afrika kusini, ila hustawi pande zote za dunia zilizo katika tropic na jirani ya tropic
🌿kati ya asilimia 45 na 60 ya mafuta yapatikanayo kwenye nyonyo huwa na madini mengi aina ya ricinolein..
🌿Nyonyo ni miongoni mwa vyanzo vya sumu kali iitwayo ricin. Hivyo basi ni vyema kuepuka kula nyonyo zilizosindikwa na hata kama zimesindikwa ni sharti ziwe zina alama inayoonesha kuwa yafaa kwa matumizi ya kula.
😋🌿Kila kitu kinachopatikana kwenye mmea wa mnyonyo kina faida za kiafya kwenye mwili wa binadamu.
MAJANI YA MNYONYO
⚡️Tiba ya ugonjwa wa kifua kikuu (TB)
⚡️Huleta nafuu kwa mguu ulioteguka
⚡️Hutumika kutibu uvimbe kwa wanyama
⚡️kikonyo ni dawa ya kwikwi
MZIZI
⚡️Hutumiwa kama dawa ya mafindo findo, uvimbe, kuungua, macho ya njano,kuumwa koo na magonjwa ya kuambukiza ya kisonono na kaswende
MBEGU/PUNJE
Hutumika kutengenezea mafuta ambayo;
⚡️Hutibu maumivu yaliyosababishwa na kuungua
⚡️Kulainisha mashine na mitambo viwandani.
⚡️Mafuta ya mnyonyo huwa na Ricinoleic acid, oleic acid, linoleic acid n.k ambazo hutibu ugonjwa wa jongo (rheumatism) unaowakumba watu wengi wanaoishi maeneo ya miinuko na baridi, ⚡️hutibu ugonjwa wa mifupa ujulikanao kitaalam kama Arthritis na gauti.
⚡️Yanaweza kutumika kama njia ya kupanga uzazi
⚡️Kurekebisha hedhi na kupunguza maumivu
⚡️Kutibu vidonda vilivyosababishwa na bacteria na ukungu (fungus)
⚡️Hutibu ngozi iliyobabuka kwa moto au jua kali sana
⚡️Hupunguza kasi ya kuzeeka
⚡️Hupunguza chunusi na kufanya ngozi kuwa na unyevu wa kutosha
⚡️Husaidia kuondoa makovu madogo dogo
⚡️Huimarisha ukuaji wa nywele
⚡️Hutibu maambukizi yaliyo kwenye ngozi ya kichwa
⚡️Huzuia michirizi
⚡️Huzuia maoteo ya nywele yasikatike
⚡️Hupunguza vidoti doti kwenye ngozi, hutumika kulainisha choo
⚡️Hupunguza maumivu ya viungo na pia huongeza kinga mwilini
⚡️Mafuta ya mnyonyo yanaweza kumfaa mtu mwenye VVU kwan mafuta yake ni sumu ya kuua vimelea vya magonjwa
⚡️Hutumika kutengenezea sabuni, karatasi angavu, wino wa printer na vanish,hutumika kwa ajili ya kuzalisha dawa mbalimbali za matibabu, mmea huu pia huweza kutoa mbolea

Tags:
Hair and Styles
Ningependa tufanye biashara ya hizo mbegu,je mko tayari?
ReplyDeleteTunaomba ututuie ujumbe kwa namba 0756807819
DeleteKwa wenye uhitaji was mafuta ya parachichi & nyonyo;
ReplyDeleteContact:
Phone. :+255687984148
:+255712128364
Email. :realqualityproduct08@gmail.com
Facebook: @realqualityproduct
Google. :@realqualityproduct.
Real Quality Product Limited Tunakaribisha matangazo ya bidhaa unaweza kutufikia kwa namba 0756807819
DeleteNahitaji kufaham namna ya kuyatumia kutibu kipara
ReplyDeleteUnapasha mafuta kwenye chombo chenge maji ya moto au vuguvugu mafuta yakiwa kwenye chombo chake tofauti alafu unapaka....karibu 0682 911758 Dar es salama
ReplyDelete*MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
Delete1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!
NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!
NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!
Je kwa fangasi sehemu za Siri inatibuje,mtu anakunywa au anapakaa?Naomba maelekezo
Delete*MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
ReplyDelete1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!
NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!
NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!
Naomba kufahamu namna yanavyotakiwa kutumia kutibu bacteria au fangasi kichwani
ReplyDelete