Big chop ni nini?
Big chop ni kitendo cha kukata nywele kabisa na kuanza safari mpya ya nywele za asili.
Watu wengi hufanya big chop kutokana na kuharibika kwa nywele zao na kupoteza mvuto halisi wa nywele.
Baadhi ya sababu zinazopelekea nywele kuharibika ni:
🧚♀️Matumizi ya kemikali yakizidi katika nywele; nywele inakosa afya na mvuto.
🧚♀️Matumizi makubwa ya moto wa aina yoyote ile kwenye nywele.
KUMBUKA: Moto ni adui mkubwa wa nywele za dawa na zisizo na dawa (natural) na nywele za dawa (relaxed)
🧚♀️ Nywele kukosa afya na kuwa nyepesi kwa sababu ya kuzistress nywele, kutodetangle ipasavyo au kuchana nywele kila wakati.
Ukiona dalili kuwa nywele zako hazina afya nzuri unashauriwa kufanya bigchop na kuanza upya kabisa.
NB: Unashauriwa kutumia products zinazoemdana na nywele yako

Tags:
Hair and Styles